Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Kama wewe una line za huduma hizo na hujui wapi ufanyie biashara hiyo, mie ninamiliki stationery Kinondoni na biashara ya Miamala ya pesa kwa mitandao wapo wateja wengi ila mimi sina mtaji wa kuweka biashara hiyo, kama wewe unazo line hizo na huna mahali pa kufanyia biashara ni-pm tuweze kulipia pango kwa pamoja huku tukifanya biashara tofauti, nalipia laki moja kwa mwezi.