Natafuta mtu wa logistics sumbawanga

Tunatafuta mtu wa kufanya kazi za logistics za magari mwenye elimu kuanzia kidato cha nne awe na umri zaid ya 25 years,awe anaweza kuishi sumbawanga mshaharaha laki 3,Awe anajua computer.cv atume chriss@equpointproperty.co.tz
HABARI ndugu, am marketer by professional parsued bachelor of business administration in marketing but also I could perform logistics activities with two years experience.
Naweza kutuma?
 
df2ca2e10a17cec5afe83510c2fdb395.jpg

Mkuu vipi kama vp nicheki inbox tufanye kazi ila ongeza pesa. Io amount ni ndogo kwangu
 
Nyie mnaotuma CV hapa na Namba zenu za Simu ningekua HR siwapi kazi hata kwa Bei ya makinikia yote pale bandari shenzi kasema mtume kwa email ile juu mnatuma hapa U guys are not Smart kufanya kazi kama ndio hiv instruction ndogo tu hamuelewi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom