Natafuta mtu wa kusimamia Shamba

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,889
Shamba Lipo Mbeya. Mshahara wa kuanzia ni 60 kwa mwezi. Unaweza kuongezeka baadaye. Ni shamba la Migomba. Ndani ya shamba unaweza jilimia mazao mbalimbali mwaka mzima. karibuni.
 
Wakati huyo mtu yupo huko anakula nn mkuu, ni hela hiyo au, anaishi vp, usalama, toa maelezo kamili
 
Usalama upo maana jirani na shamba kuna watu wanaishi. Ila mwanzo ntampangia chumba kwenye mji mwezi wa saba nina mpango wa kujenga chumba na sebule shambani. Chakula siyo shida maana hata akikosa kabisa atakula ndizi maana ni shamba linalozaa tayari.
 
Pia hela hiyo ni ya kuanzia na pia humu shambani anaweza kulima maharage, Nyanya, hoho, mbogamboga nk.
 
Usalama upo maana jirani na shamba kuna watu wanaishi. Ila mwanzo ntampangia chumba kwenye mji mwezi wa saba nina mpango wa kujenga chumba na sebule shambani. Chakula siyo shida maana hata akikosa kabisa atakula ndizi maana ni shamba linalozaa tayari.
Mkuu kila la heri, wenye uhitaji huwa wanatangulia pm, hapa tunapeana mawili matatu tu
 
Jf hakuna kijana wa 60 elfu jiulize smartphone kanunua sh ngap uje umpe 60?
Nakushauri nenda vijijini standard seven na form four failure utawapata hata kwa 30.
Humu jf kila mtu ana kanzi nzuri, Gari zuri, Dem/mke mzuri.
 
Shamba Lipo Mbeya. Mshahara wa kuanzia ni 60 kwa mwezi. Unaweza kuongezeka baadaye. Ni shamba la Migomba. Ndani ya shamba unaweza jilimia mazao mbalimbali mwaka mzima. karibuni.
Bosi nifanyie mpango basi nije huko na gobole langu nkusaidie kufukuza Ingambiri....
 
Ukimpata mtu humu akakubali hiyo elfu 60 basi nipm niongezee 40 uwe unampa laki. Humu kila mtu msomi wa angalau digirii moja, ana kali kali, pesa, totoz
 
Sio wote bhana... Mbona mimi sina vyote hivyo na nipo JF. Na nimekuwa muhanga wa shida na matatizo yasiyo na kikomo lakini naperuzi Jf wakati mwingine humu pamekuwa msaada kwangu
 
Jf hakuna kijana wa 60 elfu jiulize smartphone kanunua sh ngap uje umpe 60?
Nakushauri nenda vijijini standard seven na form four failure utawapata hata kwa 30.
Humu jf kila mtu ana kanzi nzuri, Gari zuri, Dem/mke mzuri.
Mmmmh, wee wacha utani bwana wote hatuko hivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom