Kam sura pesono watoke ndukiiDah kama vile mawaona mabazazi wa jf wakisave namba kwanza waone profile yako umeweka picha yako WhatsApp
sio kila mtu ni wa kumuhisi vibaya jamani huyu dada anaonesha kabisa anashida make follow up then urudi hapa.Nina imani njia nzuri itakuwa nawe, ila wakuu kuweni makini -tafakari kwa umakini
why ataje kiasi Cha pesa alichonacho??, aweke namba ya simu kirahisi hivyoo ?? Mshana Jr uzi wako unataka kutimia hapa
Utafanikiwa usijari..Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.
Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.
Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.
Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.

Elimu yangu: Bachelor degree Agricultural Economics and Agribusiness1. Una elimu gani?
2. Kazi za aina gani unazo weza.
3. Kazi za aina ipi unapendelea?
Jaribu kuweka informatios nyingi kadiri uwezavyo, pindi unapoelezea shida zako. Namba ya simu haitakiwi kuwa hadharani hivyo, unless uombwe.
Note: 2 na 3 ni vitu viwili tofauti.
Namtega Nani? Jiridhishe kabla hujanisaidia.dada upo serious, Au ndio upo kwenye mitego yako?
Naomba wasije kabisa washindwe watu wa namna hiyo.NIWAONYE MAJIZI YA JF, MSIOKUA NAHAYAAA, NA WENYE KUJIFANYA WENYE HURUMA.
NAJUA MPO, MTAKAOMWAMBIA DADA WAWATU
""KUNA KAZI NIMEIPATA ILA TUMA LAKI MOJA, ELFU HAMSINI, TUMA LAKI TATU ( UKIJUA HANA) KISHA UTAMWAMBIA, BASI TUMA HIYO LAKI MBILI NITAKUONGEZEA LAKI MOJA YANGU ".
WENGINE MPO MTAKAODIRIKI KUMTUMIA HATA ELFU HAMSINI AU LAKI , KISHA BAADAE MTAJIFANYA KUMWAMBIA, AWATUMIE LAKI MBILI HAMSIN ILI MUMUUNGE KAZIN.
NYINYI NYOTE KWA PAMOJA, ILI HALI NI MAJIZI ,MSOKUA NA UTU, MATAPELI.
MKOME NA MSHINDWE KABISAAA, NA MLAANIWE.