Natafuta Mtu wa kujenga ghorofa kwenye Kiwanja changu

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
399
279
Natafuta Mtu wa kujenga ghorofa kwenye Kiwanja changu kilichopo kinondoni njia ya mwananyamala kwa mboka kwa mkataba

Kwa mawasiliano no 0652132665
 
Details hazijitoshelezi. Eneo lina ukubwa gani? Lina hati? Halina mgogoro.

Linafaa kwa residential or commercial purposes.

Jiongeze rafiki. What if you visit a bank and find out if they can do that then agree to the terms you will both come up with mfano watajilipa mda gani.
 
Back
Top Bottom