Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Wakuu nataka kufungua ofisi ya kutoa mikopo isiyo na dhamana.
Sasa natafuta jitu moja la kutisha lenye sauti nzito ambalo mdaiwa akilisikia kwenye simu analeta marejesho mwenyewe.
Asiwe mtu wa kucheka cheka, mwenye sauti kavu na mwenye lugha kali...
Nawasilisha.