Natafuta mtu wa kubadilishana nae simu

Natafuta mtu wa kubadilishana nae simu

mziray45

Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
27
Reaction score
30
Habari wanajamvi,natafuta mtu ambaye anaweza kubadilishana na mm simu natumia TECNO L9 PLUS ni mpya ina wiki mbili na nina kila kitu mpk risiti na mimi nahitaji kupata TECNO CX nimetokea tu kuipenda. Au kama kuna mtu anaweza kunisaidia cha kufanya ili nipate ninayoitaka,0713901061 ndo namba yangu.
 
Nkajua ushaitumia tumia tubadilishane, mi nna tecno imevunjika vunjika kioo hadi baadhi ya herufi zinaonekana vipande
 
Mi sjawai ielewa tecno kabisa sijui inakuaje,..uu Uzi utakua aunihusu
 
Back
Top Bottom