Natafuta mtu anayekopesha kwa riba

Natafuta mtu anayekopesha kwa riba

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nina shida ya dharura imenipata nahitaji million moja niweze kuikabili. Nitairudisha mwezi july kabla ya tarehe 15. Naomba mnitumie email mnaokopesha kwa riba ili tuongee mtani charge riba kiasi gani? Email yangu ni ak_abduel@yahoo.com ( herufi ndogo). Asante
 
Uko wap? dhamana yako utaweka nin(lazma kiwe na dhaman kubwa zaid ya hyo 1m.
 
Nenda SACCOS yoyote utapatiwa huduma unayohitaji. Kama unaishi jimbo la Kawe; Saccos yao iliyo Tegeta Kibaoni inatoa huduma kama hiyo. Inaitwa Kawe Communuty Saccos iko karibu na benki ya Akiba.
 
Niko hapa hapa Dar naomba nitumie sms nikwambie niko wapi na ninafanya kazi wapi hapa DarSimu yangu ni +255 713 68 96 65. Kaka au dada nina dhamana kubwa sana zaidi ya one million. ASANTE Ningekupigia ila namba yako sina. BARIKIWA
 
Nenda SACCOS yoyote utapatiwa huduma unayohitaji. Kama unaishi jimbo la Kawe; Saccos yao iliyo Tegeta Kibaoni inatoa huduma kama hiyo. Inaitwa Kawe Communuty Saccos iko karibu na benki ya Akiba.

Kaka au dada asante ushauri wako, barikiwa mimi niko Temeke
 
ha ha ha ha ha huyu mbwambo mpe jinsia soecific bana, hakuna mdada anaitwa mbwambo.
kaka mimi ni mbwambo hasa na ni mama sasa nashangaa unasema hakuna dada mbwambo? Je unajua mbwambo ni jina la ukoo wa kipare tafuta mpare atakuelezea usihukumu jambo usilojua. Pole sana.
 
na mimi ni dada mama
 
Nina shida ya dharura imenipata nahitaji million moja niweze kuikabili. Nitairudisha mwezi july kabla ya tarehe 15. Naomba mnitumie email mnaokopesha kwa riba ili tuongee mtani charge riba kiasi gani? Email yangu ni ak_abduel@yahoo.com ( herufi ndogo). Asante

Riba ni Kharam na nidhambi kubwa ni dhulma na nikutangaza vita na Allah,, usitoe wala kupokea riba
 
Msaidie basi wapi atakopeshwa bila riba maana jamaa inaonekana katingwa haswa mpaka kaweka namba yake au mkopeshe wewe kama unazo,sijabarikiwa kua nazo ningetoa mkopo.
 
aende masjid Kichangani kuna taasis siijui jina inatoa mkopo.. na pia benki zote zenye islamic banking wing .. niko mbali ningekuwa na wasaa ningemsaidia nimwepushe na dhambi.. shetani huchukulia advantage shida zetu... Allahu aalam
 
Duh inshaAllah ubarikiwe hata kwa kuonyesha nia Mungu akufanyie wepesi na uwe na moyo wa kuwaleta watu kwenye heri
 
Back
Top Bottom