Natafuta Mtoto wa Hiari

Natafuta Mtoto wa Hiari

Mkuy huku jf utaishia kukutana tu na vituko! Kwa nini usiende kwenye vituo vya kulelea yatima?
 
mkuu usijali waliosusiwa mimba na watoto watakutafuta
 
Nenda pale Fire mkuu kuna madogo wa 'kumwaga' wanaomba omba, kachague mmoja uishi nae
 
fursa kwa single mothers wanaodhan wanahtaji kusaidiwa majukumu
 
Mm ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 46,natafuta mtoto wa Hiari kwa jinsia yoyote ile atakaeridhia niwe baba yake wa Hiari,tuwasiliane kwa 0715 33 85 27

Mr. Funguka unachohitaji ni mtoto wa umri gani? Je unataka umchukue jumlajumla uishi naye kwako? Je unaishi wapi? Kipato chako kiko vipi? Ili mtu akija huko pm ajue anakujaje
 
Una haki kupata mtoto wa hiari, lakini kuna taratibu za kufuata, soma sheria ya mtoto
 
Back
Top Bottom