Hapa sijui nimpe nani!?
Kitu kinapiganiwa ivyo.......its better to lease kwa kweliUcjali ujanja kupata sio kuwahi
Wee njoo kimyakimya mpaka home tena usiku huu halafu pekeyako naweza kukupa hata bure
Hahahahaaaa usijali nina FAYA TINGISHA ntauzima tuu! Ukija na mpambe ataharibu
Hela ni makaratasi tuu we may strike a better deal between two of us
Hahahahaaaa cute b hatujafikia mwafaka lakini
Uuuwiiiii unanigeuka live kabisa halafu mambo ya kuja usiku usingeyasema hapa
cute b naomba avatar yako uitume hapa kama picha!
Iyo apo