Magane JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 202 Reaction score 57 Mar 2, 2018 #1 Nina shamba la ekari 2.5 la mitiki yenye umri wa miaka kumi na tano (15) mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Circumference ya miti ina range kati ya cm 50 na 100. Tunauza kwa kipimo cha cubic meter. Bei ya cubic meter moja ni maelewano. Karibu.
Nina shamba la ekari 2.5 la mitiki yenye umri wa miaka kumi na tano (15) mkoani Morogoro wilaya ya Kilombero. Circumference ya miti ina range kati ya cm 50 na 100. Tunauza kwa kipimo cha cubic meter. Bei ya cubic meter moja ni maelewano. Karibu.
kirikou1 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2016 Posts 4,816 Reaction score 6,531 Mar 2, 2018 #2 Mkuu ule mradi wa REDD+ chini ya UNDP umeisha kwani?
taylor9119 JF-Expert Member Joined Nov 4, 2012 Posts 301 Reaction score 489 Mar 2, 2018 #4 Miaka 15, safi sana Vision ya kutosha sana.