Hallo wanajamii ninaomba mtu yeyote ambaye anaweza kunipatatia mtama mwekundu kwa kiasi cha kila derivery tani kumi anipe bei ya pale alipo kwa kilo moja. Asanteni sana kwa walio serious piga 0764312429. God bless.
Mkuu Mtama mwekundu unapatikana sana Mkoa wa mara wilaya ya Serengeti kule ndo chakula chao kikuaa, weka na bei kabisa tufanye biashara, Hata tani mia moja unapata,