mzawa _original
Member
- Feb 7, 2022
- 23
- 27
Mm nilikuwa sport pesa lakin niliona wanazingua niwakacha
Even Money 50,000/= na 70,000/= ni faida hapo return ni 100,000/= na 140,000/= kabla Serikali haijachukua chake, hivyo kwahio anashinda alichoweka (hapo decimal odds ni 2) au kwa jina lingine EVEN....Sasa nawewe stake ya 50000 ili ushinde 50000 ndo nini, au iyo 70000 ili ushinde 70000 umebeti kitu gani
Mzee haya maneno mwanzo sikuyaelewa tulivyokuwa tunadiscuss nikajifanya thick headed nimeendelea kuexplore the game...Dah nimeshakula hasara sana....nikaamua kucheza online Casino games kama crypto crash games, roulette,poker,virtual football,black jack,spin wheel,dice games dah aisee nimekuja kuadmit mwenyewe kuwa huwezi kuwashinda hawa jamaa in a long run!Vipi Ushawasili Destination Poverty ?
The House can't be beaten (it has been mathematically proven) Ila kama unataka kuwa Book Maker hapo nitakuelewa...
Hata Kabla ya Kuwa Rigged Probability ipo upande wao..., Mfano nikisema nikirusha shilingi ukishinda nakupa tshs moja ukishindwa nachukua 2..., hapo utaona in the long run wewe upo kwenye upande ambao sio sawa na upande wangu...Mzee haya maneno mwanzo sikuyaelewa tulivyokuwa tunadiscuss nikajifanya thick headed nimeendelea kuexplore the game...Dah nimeshakula hasara sana....nikaamua kucheza online Casino games kama crypto crash games, roulette,poker,virtual football,black jack,spin wheel,dice games dah aisee nimekuja kuadmit mwenyewe kuwa huwezi kuwashinda hawa jamaa in a long run!
These games are rigged despite them being promoted kuwa ni fair ,sjui wanatumia RNG kutoa matokeo,sijui wanatumia provably technology n.k nilichogundua kuwa hizi system zipo biased na zipo kwa ajili ya kuwaneemesha wenye haya makampuni basi. Na kamisheni ya bahati nasibu sidhani kama wana maabara na wataalamu wa kutest hizi systems kuona kwamba haziko rigged. Wanachoangalia tu ni kuwapa license kwakuwa wanalipa kodi kubwa kwa serikali. Wanachofanya wanatumia tu artificial intelligence kujua strategy na pattern ya player then wana counterattack ili kumaliza bankroll.Ukija kustuka huna hata mia mbovu.
Nliwahi kutumia cross market arbitrage system katika virtual ila nahakikisha outcomes zisitokee goli kadhaa....mwanzo nilikuwa nawala ila baadae kila results zikija utakuta imetoka idadi ile ile ya magoli ...ili waendelee kunila pesa.Hata Kabla ya Kuwa Rigged Probability ipo upande wao..., Mfano nikisema nikirusha shilingi ukishinda nakupa tshs moja ukishindwa nachukua 2..., hapo utaona in the long run wewe upo kwenye upande ambao sio sawa na upande wangu...
Pili hata ukigundua system leo (loophole) ya kuweza kuwala baada ya muda wataona hio loophole na kuziba mianya hivyo kuziba hio loophole..., Kumbuka hata wao sio machizi na wana akili, ujuzi, system, wanajua game, wanafanya research na mwisho wa siku mathematics inawa-favor....
All in all as leisure sio mbaya utakula hapa na pale ila in the long run mshindi anajulikana (Na hata ukitumia systems za kucheki odds disparity na kutumia computers kucheza hizo odds huku na kule na kuhakikisha either way unashinda) Bookies wakikugundua utafungiwa na account yako kuwa blocked.....
Tena kwenye virtual hapo ndio ipo rigged kabisa sababu hio ni software inaweza ikawa programmed isipate loss zaidi ya kiasi kadhaa hapo hata kama uwezekano wa hayo matokeo kutokea haupo na wewe umeweka mpunga mrefu gundua tu yakutokea yatatokae na wewe mwisho kuliwa..., Yaani mwisho wa siku Kipigo ni inevitable....Nliwahi kutumia cross market arbitrage system katika virtual ila nahakikisha outcomes zisitokee goli kadhaa....mwanzo nilikuwa nawala ila baadae kila results zikija utakuta imetoka idadi ile ile ya magoli ...ili waendelee kunila pesa.