JUMA KIDEVU
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 150
- 309
Mwaka 2019 nilipata changamoto ya kazi na nikakaa bila ajira kwa mwaka hivi had 2020. Now niko kazin ila kazi hainilipi kama ile ya mwanzo.
Kipind kile niko benchi niliwaza na kuandika mirad minne ya ujasiriamali. Lengo ni kuwa nikipata ajira tena nijichange change ili nijiajiri mwenyewe kwasababu ajira hizi za watu zina ukomo.
Miaka yote miwili hiyo nimeshindwa kutekeleza lengo langu la kutunza hela kwa ajili ya moja ya hiyo miradi minne.
Na Sitaki kukopa ili kuanzisha biashara.
Najua madhara ya kuanzisha biashara kwa hela ya mkopo.
Kwenye kuchanganua "where the money at"...
Nimeona na nataka kujaribu betting kama nitaweza kufanikiwa kukusanya 8 Million ndan ya miez 3, siku 90.
Tangu mwaka huu uingie,
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbali mbali ya kubet.
Nijue kama kuna strategies zozote.
Nijue does and dont.
Na kujifunza meng zaid.
Nimejiridhisha na nimeamua sasa kutafuta mtaji kwa njia ya bettings.
Lengo la kuweka hapa jukwaan ni.
1. Kwanza kuweka kumbukumbu vizur.
Maana nafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu.
2. Kuwa motived and pia demotivated.
Ili kupambana zaid kudhihirisha kuwa linawezekana.
3. Pengine Kuna wale wazoefu wakanipa tips za hapa na pale.
Ntakuwa napost hapa , kutoq feedback.
Ziwe mbaya au nzuri.
Na pia ningeshukuru kama ningepata na ushauri.
Be blessed.