Natafuta mtaalamu wa ku design swimming pool ndogo

Brooklyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
1,459
284
habari zenu wana JF!

Natafuta mtaalamu wa ku design a small in-ground swimming pool (for domestic use only). Nimeomba quote toka kampuni moja ya ujenzi wameniambia bei ambayo naona iko inflated sana kwa size ya pool yangu ninayo itaka. Wao wanataka Tsh. 12 mil, bei hii naiona ni kubwa sana.

Nimeamua nitafute mchoro kisha nimtafute fundi mchundo afu nimnunulie vifaa kisha anitengenezee hii kitu.

Nawakilisha!
 
Nenda kwenye kampuni moja inaitwa Markim Chemicals Co. Ltd wako karibu na Kinondoni makaburini. Ukifika ulizia fundi na vifaa vya swimming pool.
 
usiofu kiongozi kama upo kibihashara tuwasiliane.au nipe email yako nikufowadie madesgn ya ukwel then tufanye bihashara.ni pm your number.
 
kaka hali ngumu namna hii wewe unataka kuogelea? duh!!

Mkuu swimming pool ni kitu basic sana katika nyumba. Baada ya kazi za kutwa katika kutafuta hela ni muhimu ukirudi nyumbani kukaa kwenye maji ili kuondoa stress za maisha.

Nakushauri kama una nafasi nyumbani kwako fikiria kuweka swimming pool au Jacuzzi for your leissure mkuu. Binafsi nimeamua kufanya hivyo baada ya kuona umuhimu wake kutoka kwa jirani zangu kwa kipindi kirefu.
 
Mkuu swimming pool ziko juu kidogo nadhani hao waliokupa bei ya 12m walikuwa reasonable sana, sijui lakini jaribu kuendelea kucheki cheki. Mimi mara ya mwisho kupata quotes za swimming pool iliyokuwa rahisi zaidi ilikuwa $11,000 (Au size ni tofauti!) sasa kwa 12m naoja kama ni sawa tu.
Anyway labda kwa uzi huu tutapata unafuu mahali, naomba contacts za hao jamaa wa 12m kama hutojali mkuu.
 
habari zenu wana JF!

Natafuta mtaalamu wa ku design a small in-ground swimming pool (for domestic use only). Nimeomba quote toka kampuni moja ya ujenzi wameniambia bei ambayo naona iko inflated sana kwa size ya pool yangu ninayo itaka. Wao wanataka Tsh. 12 mil, bei hii naiona ni kubwa sana.

Nimeamua nitafute mchoro kisha nimtafute fundi mchundo afu nimnunulie vifaa kisha anitengenezee hii kitu.

Nawakilisha!

Mkuu swimming pool ziko juu kidogo nadhani hao waliokupa bei ya 12m walikuwa reasonable sana, sijui lakini jaribu kuendelea kucheki cheki. Mimi mara ya mwisho kupata quotes za swimming pool iliyokuwa rahisi zaidi ilikuwa $11,000 (Au size ni tofauti!) sasa kwa 12m naoja kama ni sawa tu.
Anyway labda kwa uzi huu tutapata unafuu mahali, naomba contacts za hao jamaa wa 12m kama hutojali mkuu.

mkishaweka hizo swimming pool naombeni mniambie jamani....niwe nakuja kuogelea......

Sawa, nitakukaribisha. Nafikiri by July itakuwa tayari kama mipango itaenda kama nilivyopanga.
 
Mkuu swimming pool ziko juu kidogo nadhani hao waliokupa bei ya 12m walikuwa reasonable sana, sijui lakini jaribu kuendelea kucheki cheki. Mimi mara ya mwisho kupata quotes za swimming pool iliyokuwa rahisi zaidi ilikuwa $11,000 (Au size ni tofauti!) sasa kwa 12m naoja kama ni sawa tu.
Anyway labda kwa uzi huu tutapata unafuu mahali, naomba contacts za hao jamaa wa 12m kama hutojali mkuu.

Nahisi size ya swimming pool na margin of profit ya mjenzi ndo zitatofautisha bei. Mi size ninayotaka ni meter 4*3.5.

Lets plz share opportunities za ku minimize cost while not compromise quality ya pool.
 
mkishaweka hizo swimming pool naombeni mniambie jamani....niwe nakuja kuogelea......

Naona ww unataka kichapo, yaani utoke kwako na kichupi kuja kuogelea kwangu !!!!!!!! Na my wife wangu anakuangalia tu. Halafu wengine mkiingia pool mnaacha na haja ndogo humo humo !!!! Sasa ka-pool kangu si katajaa/katakuwa poluted na haja ndogo za majirani !!! Achia mbali ukurutu.
 
ha!....kwani hununui chemicals za kuweka huko......?
au unategemea nisikie haja ndogo nitoke kwenye maji.....niende wapi.....?
basi nakupa offer ya chlorine kwa muda wote utakaomiliki hiyo pool yako.......

Nilikwenda swimming pool moja limeandikwa " We don't swim in your toilets so please don't pee in our swimming pool"
 
ha!....kwani hununui chemicals za kuweka huko......?
au unategemea nisikie haja ndogo nitoke kwenye maji.....niende wapi.....?
basi nakupa offer ya chlorine kwa muda wote utakaomiliki hiyo pool yako.......

Kama uko tayari tufanye cost sharing, mi niko tayari kabisa. Ila uje ukiwa umevaa vizuri, kando ya pool yangu nimejenga room ya kubadirishia nguo.
 
Naona ww unataka kichapo, yaani utoke kwako na kichupi kuja kuogelea kwangu !!!!!!!! Na my wife wangu anakuangalia tu. Halafu wengine mkiingia pool mnaacha na haja ndogo humo humo !!!! Sasa ka-pool kangu si katajaa/katakuwa poluted na haja ndogo za majirani !!! Achia mbali ukurutu.

Mkuu Malilakumbe na wee umo pande ya jokes?....au ushaanza kuingiza voko mdogomdogo kwa huyu priti hahahaa! iti iz e jok badi:poa
 
nahisi size ya swimming pool na margin of profit ya mjenzi ndo zitatofautisha bei. Mi size ninayotaka ni meter 4*3.5.

lets plz share opportunities za ku minimize cost while not compromise quality ya pool.

hapo nilipoweka bold and red ndipo panatofautisha a swimming pool and a pond...how can you swim in a 4m pond?...at least ingekuwa say 6m x 3m...mkuu kuna standards za swimming pool just google utapata...na kwa upande wa bei bado naona kama jamaa wako verrryyyy cheap compared to the reality..11m??....pool ya kawaida inatakiwa atleast ungechargiwa tshs 20m...amini nayokuambia usijekuingia mkenge toka kwa wahun na matapeli wa mjini

ni maoni tuu..ukihitaji ushauri wa kitaalam na watu experienced in the industry ni pm nikupe contacts.
 
Hii mazereu hii sasa lol
 
Mkuu kwa pool private naona hivyo vipimo viko fine. Kwani wewe unataka swimming pool ambayo ni olympic standards?
 
Hahahahahaha nimeipenda hii....kumbe jamaaa anataka kuchimba shimo ndo liwe pool....aisee....kwa ivo vipimo mkuu ilo kitakuwaa kisima kwakwel....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom