Natafuta mtaalamu wa kilimo cha Greenhouse

valelius

New Member
Nov 14, 2018
2
1
Ndugu zangu nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya kwa kutumia Greenhouse. Anayefahamu gharama za kuandaa mwanzo mpaka mwisho anisadie kwa upande wa Morogoro.

Asanteni
 
Kwanini usikie kwa wataalamu wa kilimo ukapata msaada zaidi.

Humu utapata ndiyo ila jaribu kwanza kutembelea wadau wa sekta ya kilimo kwenye mkoa wako.
 
Iko hivi boss,gharama za greenhouse zinategemea na size ya greenhouse na mbegu bora za nyanya kwa kilimo cha ndani kuna anna f1 na corazone,sisi tunajihusisha na ujenzi wa greenhouse na tunauzoefu wa kutosha,
GHARAMA ZA GREENHOUSE(chuma) ZIPO HIVI
8m×15m ni Million 8
16m×30m(gutter connected) ni Million 16
Hii inahusisha
(i)Metal Frame structure
(ii)Plant support system
(iii)Drip irrigation system
(iv)Entrance porch
Kwa maelezo unaweza kuwasiliana nasi kupitia
0752022108
info@agrilafarming.com
www.agrilafarming.com
 
Attachments

  • 20180904_143301_001.jpg
    20180904_143301_001.jpg
    278.7 KB · Views: 120
Ndugu zangu nataka kuwekeza kwenye kilimo cha nyanya kwa kutumia Greenhouse. Anayefahamu gharama za kuandaa mwanzo mpaka mwisho anisadie kwa upande wa Morogoro.

Asanteni
Hi tupo morogoro karibuni
0763347985
 
Iko hivi boss,gharama za greenhouse zinategemea na size ya greenhouse na mbegu bora za nyanya kwa kilimo cha ndani kuna anna f1 na corazone,sisi tunajihusisha na ujenzi wa greenhouse na tunauzoefu wa kutosha,
GHARAMA ZA GREENHOUSE(chuma) ZIPO HIVI
8m×15m ni Million 8
16m×30m(gutter connected) ni Million 16
Hii inahusisha
(i)Metal Frame structure
(ii)Plant support system
(iii)Drip irrigation system
(iv)Entrance porch
Kwa maelezo unaweza kuwasiliana nasi kupitia
0752022108
info@agrilafarming.com
www.agrilafarming.com

Ukiacha kilimo cha nyanya,jee inafaaa vilimo vingine,say maua,etc?

Na jee Moshi,hasa wilaya ya Moshi Vijijini mna experience napo?
 
Ukiacha kilimo cha nyanya,jee inafaaa vilimo vingine,say maua,etc?

Na jee Moshi,hasa wilaya ya Moshi Vijijini mna experience napo?
Ndio ndio boss,kilimo cha ndani cha greenhouse kinafaa kwa kilimo cha nyanya,maua,matango,hoho n.k
Kwa pande wa moshi tuna uzoefu napo pia boss kikubwa tunachokihakikisha sisi ni kufanya soil test ili kufahamu hali ya udongo kwenye upande wa nutrients na pia kuepuka magojwa (soil borne diseases).Karibu.
 
Siwez kulima mahindi kwenye greenhouse?
 
Kwa nn sio mahindi?
Greenhouse ni gharama kutengeneza hivyo tunazitumia kulima mazao yenye profit nzuri ili kucover gharama ya stucture nzima kwa muda mfupi,kwa zao kama nyanya unaweza kulima na kuvuna mpaka miezi 8 kila wiki mfulilizo hivyo unaweza kutengeneza faida nzuri ndani muda mfupi ukilinganisha na zao kama mahindi ambalo ukisha vuna mara moja ndo basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom