george tiru
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 200
- 147
Nilikuwa na tatizo kama lako, kinachotokea ni kwamba zile oil seal ndani ya gearbox zinakuwa zimekauka kutokana na uchakavu, hivyo unapoweka gear oil pressure inapotea kwenye zile loose seals na inachukua muda mafuata ku-accumulate kwenye njia zake na kutengeneza pressure ya kutosha ili kuondoa gari.Naombwa kujua tatizo ni nini hasa , nina gari gari chaser hasa asubuhi ukitaka toka ukiweka D au R
inachukua kama dk 5 ndio inaanza kuondoka, nimebadilisha ATF lakini bdo tatizo linaendellea, mwenye experience nazo anipe angalau cha kufanya.
Kushusha, kusuka na kufunga inaweza fika hata laki 5, sasa angalia unafuuaisee nshukuru kwa ushauri wako, kumbe gear box yake si ghali sana, maana kuna fundi kaniambia kushusha na kufunga laki 3, kumbe naeza nunua ingine tuna kufunga, ahsante.
Naombwa kujua tatizo ni nini hasa , nina gari gari chaser hasa asubuhi ukitaka toka ukiweka D au R
inachukua kama dk 5 ndio inaanza kuondoka, nimebadilisha ATF lakini bdo tatizo linaendellea, mwenye experience nazo anipe angalau cha kufanya.
kanunue lingine Milion 3 chaser,cresterNaombwa kujua tatizo ni nini hasa , nina gari gari chaser hasa asubuhi ukitaka toka ukiweka D au R
inachukua kama dk 5 ndio inaanza kuondoka, nimebadilisha ATF lakini bdo tatizo linaendellea, mwenye experience nazo anipe angalau cha kufanya.
Badili gearbox kama alivyoshauri FRANCIS DA DON ,kwa uzoefu wangu gearbox ikishaanza kusumbua kupona ni nadra sana...Naombwa kujua tatizo ni nini hasa , nina gari gari chaser hasa asubuhi ukitaka toka ukiweka D au R
inachukua kama dk 5 ndio inaanza kuondoka, nimebadilisha ATF lakini bdo tatizo linaendellea, mwenye experience nazo anipe angalau cha kufanya.
Uwezekano wa kupona ni karibia asilimia sifuri. Mafundi wanafanya usanii tu.aisee nshukuru kwa ushauri wako, kumbe gear box yake si ghali sana, maana kuna fundi kaniambia kushusha na kufunga laki 3, kumbe naeza nunua ingine tuna kufunga, ahsante.
Ndiyo hilo. Linaitwa Kisangani Auto spares. Kuna spare halisi sio fake.Duka la toyota wenyewe ukipita njia ya mwendo kasi baada ya kupiga kona kutoka kituo cha fire uwelekeeo wa kwenda kariaoo utakapozikuta taa za mwanzo upande wa kushoto utaona duka kubwa limeandikwa toyota na nembo yao ndo hapohapo
Ofcourse kabla ya kubadilisha inabidi a rule out matatizo kama hayo kwanza, lakini kwa jinsi alivyoelezea haiwezi ikawa solenoid, maana solenoid ikifa imekufa, na sio ichelewe kuengage gearHio gari itakua na shida kwenye solenoid za kwenye gia box maana hapo ndo kunapofanya either gia ziwahi au zichelewe ku engage..kabla ya yote hakikisha unatumia ATF recommended i.e dexron ii/iii au iv
Mkuu mimi kuna gari ina shida ya design hio hio hata ukisema u google delaying shift husababishwa na shift solenoid ingawa mleta mada hajasema utakuta hio gari ukikanyaga mafuta sana inaanza kusogea taratibu taratibuOfcourse kabla ya kubadilisha inabidi a rule out matatizo kama hayo kwanza, lakini kwa jinsi alivyoelezea haiwezi ikawa solenoid, maana solenoid ikifa imekufa, na sio ichelewe kuengage gear