Natafuta mtaalam wa Audio & Visual Production

nyampepela

New Member
Aug 19, 2010
2
1
Natafuta kijana ambaye ni shapu. Mwenye SIFA zifuatazo
  • Kuandaa na Kuandika SCRIPT
  • Kutangaza
  • Kuchukua Video
  • Kutengeneza na Kuhariri Video

Kwa Mawasiliano piga 0683 966282 au niandikie barua pepe nyampepela@gmail.com

 
duuh hizo kazi zote mtu mmojanahs kuandaa script na kutangaza sawa lakina na video ajue ana kuhariri ajue, kibongo bongo ataharibu kimoja....watakuja maarufu maana hz kazi za kujulikana hizi
 
Ofisi ipo maeneo gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom