Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

Thifor

Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
19
Reaction score
1
Nimekua nikipata wasichana walaghai mara zote,hali ambayo ilinifanya kuwachukia wote. Ila sas nataka msichana ambae anadhamira kama yangu aache namba yake ya simu nami yakutafuteni,sichagui chochote ili mradi uwe una sura ya mvuto tu
 
hahahahaaa nenda sokoni katangaze au kanisani kwa Lwakatare Wanawake wanaombewaga wapate wa kuwaoa
 
hapa jf ni hataari sana walioko humu ni shidaaaaa
weka mbali na watoto
 
radhi ya nini humu hakuna ke kuna WALIOKUBUHU, WENYE K KAMA NDOO, MASHANKUPE, MASHANGINGI BISHA UONE

hapo kwenye kama ndoo naweza kubali maana vibamia vimekuwa kama ugonjwa watu hadi kidole cha mwisho ni kikubwaaaa
 
Nimekua nikipata wasichana walaghai mara zote,hali ambayo ilinifanya kuwachukia wote. Ila sas nataka msichana ambae anadhamira kama yangu aache namba yake ya simu nami yakutafuteni,sichagui chochote ili mradi uwe una sura ya mvuto tu

Huwezi kupata mwanamke mwenye dhamira kama yako....
 
Namba ya EVELYN SALT ni 075820578__ malizia nadhan atakufaa sn kulingana sifa unazohitaj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom