wee ni mafia?
id yako dik, unaitwa Peter, email andrew, duh!
Afu Id yako inaogopesha kutamka gizani hasa kama mnaongea kiinglish.
Mmmmhhh, Kongosho we nae! lolestwee ni mafia?
id yako dik, unaitwa Peter, email andrew, duh!
Afu Id yako inaogopesha kutamka gizani hasa kama mnaongea kiinglish.
Me niko tayari, ILA sipendi mapenzi ya kuulizana ulizana mara uko wapi muda huu, uko na nani, kushikiana simu, kusoma meseji, kujua nani ka call, kuninyang'anya simu n.k.... in short sipendi yale mapenzi ya kubanana kama inzi had uhuru binafsi unakosekana! sipendi mapenzi ya KIKANUMBA hadi kufikia hatua ya kufight.....ehe unasemaje hapo?
ni kweli mke mwema anatoka kwa mungu ila watu wanakutana in different way so ukute mke wake atampata uku but amshirikishe mungu katika hilo pia.mke mwema anatoka kwa bwana siyo JF
mke mwema anatoka kwa bwana siyo JF
Mke mwema anatoka kwa Bwana thru/via JF
Mmmmhhh, Kongosho we nae! lolest
Mbona hujamwambia Dick Sheney hivo?