Natafuta msichana mrembo from Morogoro

Natafuta msichana mrembo from Morogoro

Ngoja nikuitie mmoja kisu cha ukweli, mtakutana huko huko PM aliwahi niambia anahitaji kijana mtanashati umri wako, yeye anaishi Msamvu
 
mi nipo hapahapa moro,ni handsome 24 years na i wish to have mtoto mmoja wa kike mzuri umri kuanzia miaka 18-24 wa hapa hapa tufahamiane tukipendana tuwe wapenzi,aliye seriouz ani pm tufahamiane zaidi.sitaki maneno ya kejeli plizzzz am seriouz

mwanaume asifiwi uhandsome mwanaume kazi na wallet itune mfukoni.Peleka utoto wako huko.
 
Pake NYUMBANI PARK kwa Fujo na Kahumba kuna wasichana kibao, nenda afu lete mrejesho!
 
Hili tangazo limekuja wakat nshatoka maeneo hayo by ze wei huo umri bado mdogo sana

Manka, daaaah! Mm nimepanda Al hushoom limetokea mby, now ndio napita kwa mbunge mpya! Ningekushuhudia unavomuingiza king last year!
 
HANDSOME huku huwezi kupata mwenye umri huo... Huku nikuanzia miaka 30 nakuendelea ukisikia mdada anatafuta ujue umri umekwenda tulia baada ya ya miaka 7 uje uandike tena
 
nishaku pm mkuu
Usije niangusha tena maana shorty asijeona nimemuunganisha na domo zege, mimi nimekuunganisha tu, mambo mengine mtamalizana wenyewe, mimi wala siyataki kuyafahamu.

Nimeshakujibu mambo yote PM

Kila la kheri
 
Usije niangusha tena maana shorty asijeona nimemuunganisha na domo zege, mimi nimekuunganisha tu, mambo mengine mtamalizana wenyewe, mimi wala siyataki kuyafahamu.

Nimeshakujibu mambo yote PM

Kila la kheri

hakiharibiki kitu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom