Habari wapendwa,
Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni.
Nina masters in entrepreneurship and marketing na mtaji wa kiasi sh.mil 3 hivi. Nahitaji mshirika wangu awe na kianzio au mtaji atakaona unaweza kuwezesha hii biashara kuanza na kuendelea.
Nawakaribisha watu wote wenyekuvutiwa na wazo hili, na yeyote yule atayependa kushirikiana nami kufanya biashara hii tuwasiliane PM. Kila la kheri