Natafuta mshirika partner wa kufanya nae biashara

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
431
512
Hello
Kama heading inavyojieleza natafuta mshirika mtu ambaye ana biashara tayar iliyo halali au mwenye wazo na mtaji pia niingize kimtaji changu kidogo tufanye biashara pamoja

KWANINI MSHIRIKA
1-Sina uzoefu sana wa biashara
2-Kila biashara ninayopanga nikitazama changamoto naishia kusitisha wazo

KIANZIO
Kianzio kilichopo ni kama milioni 1 japo inaweza ongezeka kutokana na biashara yenyewe

LOCATION
Mahali popote japo ni vema zaidi ikiwa kanda ya ziwa

Kuhusu elimu na mambo mengine

Mawaliano
0756908809
 
Una mawazo mazuri chief, ila naomba nikushauri anza kufanya biashara mwenyewe kabla ya kutafuta partner...

Usiwe na uoga wa kirahi hivyo....fanya biashara uone utaendaje, yamkini ukiwa peke yako utafanikiwa zaidi kuliko kuwa na partner...

Na ukianza kufanya utakuwa unajua unahitaji partner wa aina gani atakae kidhi mawazo yako na mkaelewana vizuri,

So far kuwa na partner ni vizuri maana penye wawili hapashindikani kitu.

Kila la kheri chief, karibu ktk ulimwengu wa biashara.
 
Back
Top Bottom