Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Wana JF
Nilitangaza humu jamvini kuwa natafuta jimama lililoachika mara tatu. Nimepata mijimama zaidi ya 100, nikashortlist na sasa nimebaki na mmoja ambaye kabila ni Mkwere wa Msata. Pamoja na kuwa ameachika mara tatu, kwa mila za Kikwere ni lazima nichumbie tena. Amesema kwa mila zao mshenga inabidi aende Msata na ni lazima awe anajua Kikwere na mila zao. Binafsi jimama nimelipenda, kwani limekaa kisawa sawa na hakika halina 'chinese' modification.
Ombi langu ni kwenu wanaJF kama kuna mwanaume anayejua Kikwere, au anamjua mtu yeyote anayejua lugha hiyo, naomba anisaidie.
MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
jamani shosti wangu wewe mambo mengi hufahamu,tupange muda nikupe darasa la KISWAHILI CHA KISASA lkn neno mshenga mbona sio jipya?
MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
nilham.....mshenga ni mtu ambaye anatumwa kupeleka posa kwa wazazi wa binti....
senkiyu in adivansi
halafu wewe hii avatar yako mimi inanifanya......aaaahhhh
inanifanya nikuogope
Are you serious!!MSHENGA ni mtu gani??msaada tu jamani nifaham, please?
Are you serious!!