Natafuta mshenga anayejua Kikwere

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wana JF

Nilitangaza humu jamvini kuwa natafuta jimama lililoachika mara tatu. Nimepata mijimama zaidi ya 100, nikashortlist na sasa nimebaki na mmoja ambaye kabila ni Mkwere wa Msata. Pamoja na kuwa ameachika mara tatu, kwa mila za Kikwere ni lazima nichumbie tena.

Amesema kwa mila zao mshenga inabidi aende Msata na ni lazima awe anajua Kikwere na mila zao. Binafsi jimama nimelipenda, kwani limekaa kisawa sawa na hakika halina 'chinese' modification.

Ombi langu ni kwenu wanaJF kama kuna mwanaume anayejua Kikwere, au anamjua mtu yeyote anayejua lugha hiyo, naomba anisaidie.
 
ANGALIZO!
Huko ukwereni uwe tayari kuwa wanaume wenzio kama 5, wa kukusaidi kwa huyo mama!
katerero sio dili kwao!!!
 
mie namjua... kuna mkwere mmoja ni...yap..anaitwa jey-kei...nitakupa namba yake umpigie
 
Wana JF

Nilitangaza humu jamvini kuwa natafuta jimama lililoachika mara tatu. Nimepata mijimama zaidi ya 100, nikashortlist na sasa nimebaki na mmoja ambaye kabila ni Mkwere wa Msata. Pamoja na kuwa ameachika mara tatu, kwa mila za Kikwere ni lazima nichumbie tena. Amesema kwa mila zao mshenga inabidi aende Msata na ni lazima awe anajua Kikwere na mila zao. Binafsi jimama nimelipenda, kwani limekaa kisawa sawa na hakika halina 'chinese' modification.

Ombi langu ni kwenu wanaJF kama kuna mwanaume anayejua Kikwere, au anamjua mtu yeyote anayejua lugha hiyo, naomba anisaidie.

Hili Tangazo kabandike ikulu, jamaa aksoma mnaenda nae! Cha msng mpromise umpe kdem kazur toka kabila lenu!
 
Cheki a JeyKey kama hataenda ughaibuni hivi karibuni uchonge nae au mvizie anavyokwenda pale chalinze mzee alipojenga yale mahekalu yake umwombe ajivute mpaka hapo msata sio mbali sana nadhani ni kama km 20 tu! atakubali ila warning; usijekubali aondoke nae maana naskia aaaanhhhh
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom