natafuta mrembo humu

uongo ni huu Bulldog anadai humu hakuna warembo wakati ni uwongo
hajakutana na wazazi tena wana mapacha but wako very hot
wapi cacico uje umueleze huyu kijana
shida ya Bulldog ni kukosa mwenza.....akipata maneno yote yataisha
 
Last edited by a moderator:

mbona katika hii orodha wamejitokeza watatu tu,warembo wengine wameenda kula x mas au?
 
kijana kuna mrembo mmoja humu anaitwa kongosho,huyo ndio mwenye jukumu la kupokea wageni wenye akili kama zako!ila kuwa makini huwa anabadilika jinsia sekunde yoyote. Kongosho,haya kazi kwako nimekuletea mwana mbuzi huyo!
 
kama anabadilika jinsia huyo ni hatari asije akanigeuza mi mrembo mwisho wa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…