nimesema hivi kwa kumaanisha kwamba watu nane ni heavy weight sasa akibishana na watu wenye uzoefu mdogo heshima itashuka sina maana ya kumsimanga.watu nane ni katika kuwekana sawa tu mzee.
huku hakuna warembo, wapo wamama afu wameshazeeka sana.
uwe unajua katikakubishana nae ameonekana kukushusha sana hasa kuzingatia ugeni wako humu mimi simkwezi ila humu ndani maneno dharau yamo sana utaambiwa wende face book humu,utatukanwa wakati mwingine,nilimaanisha uwepo wake muda mrefu humu.samahani nilikuwa nauliza huo uheavy weight wake upo ubongoni,misuli ya mikono au mdomoni?aliyeanza kumtukana mgeni ni yeye sasa huo ustaarabu uko wapi?huo uzoefu wake umemsaidia nini?cjaingia kutafuta umaarufu humu coz sitapata hata sent 5.bhaaaaaaas!
uwe unajua katikakubishana nae ameonekana kukushusha sana hasa kuzingatia ugeni wako humu mimi simkwezi ila humu ndani maneno dharau yamo sana utaambiwa wende face book humu,utatukanwa wakati mwingine,nilimaanisha uwepo wake muda mrefu humu.
Baada ya wewe "Kunipandishia Vioo" nimeamua kuwa Mgumu bhana!.:smiling:
No bana nimeamua kuwa mgumu baada ya kukukosa wewe, labda hapo atakapozaliwa mwingine kama wewe katika ile dunia nyingine tunayoelekea baada ya hii!.:smiling:Sasa ningefanyaje jamani bandugu, nyumba tayari ina mpangaji..he he!! endelea kuwa mgumu, huwezi jua unaweza kukutana na atakayeusuuza moyo wako!!
we we we we mi sio mzee
hahahahahahahahahaaaa:becky:Huku utakuwa umepotea njia, sisi tumewatafuta warembo humu mpaka mwisho wa yote tumeamua kuwa "Wagumu"!.
Huku utakuwa umepotea njia, sisi tumewatafuta warembo humu mpaka mwisho wa yote tumeamua kuwa "Wagumu"!.
huo ukarimu unaishia hatua gani , haf unataka maried au single , wapo wengi humu na wote wakarimu, kuna
Natalia, joyness, amu, ram, Nazjaz, AshaDii, BADILI TABIA, Purple, Ciello, BelindaJacob, Husninyo, Gunda66, cacico, ,,kongosho, Lily Flower, mwaJ, bibi.com
Zion Daughter, neggirl, Paloma, lara 1, Evelyn Salt, Dena Amsi
Kaunga, Nyamayao,binti.com, nivea, snowhite, King'asti, Madame B, Preta,
Hao ni to start with, u wil get mo as ugeni wako unavyozidi kuisha, kila la heri
Anayejiona sio mkarimu jamani ajitoe kwa sababu za msingi kwa kiswahili zinazoanzia na herufi Q na X,
n.b, angekua mwanamme mkarimu anatafutwa humu, mtafutaji angeshindwa mwenyewe kuchagua wapo wengi wakarimu humu hadi raha.
huku hakuna warembo, wapo wamama afu wameshazeeka sana.
maneno ya mkosaji aya......acha uongo hakuna mgumu mbele naniluuuuHuku utakuwa umepotea njia, sisi tumewatafuta warembo humu mpaka mwisho wa yote tumeamua kuwa "Wagumu"!.
jamani eeeh nimesema nataka mrembo anielekeze mazingira ya humu sio mke sasa mnaniambia niende facebook huo ndo ukarimu gani?sasa mrembo wa facebook atanielekeza mazingira ya humu?tujipange wadau tunapotoa ushauri na tusiwe na mawazo negative..
bibie upo .......ukweli upi sasa....acha uongo
BelindaJacob msikilize mtoto wa mwanamke mwenzioNo bana nimeamua kuwa mgumu baada ya kukukosa wewe, labda hapo atakapozaliwa mwingine kama wewe katika ile dunia nyingine tunayoelekea baada ya hii!.:smiling: