Huku utakuwa umepotea njia, sisi tumewatafuta warembo humu mpaka mwisho wa yote tumeamua kuwa "Wagumu"!.
huku hakuna warembo, wapo wamama afu wameshazeeka sana.
jamani za sa hizi..eeeh mi ni mgeni humu na kutokana na ugeni wangu nilikuwa nahitaji mrembo mzuri,mzoefu na mchangamfu ili anieleweshe na kunielekeza mazingira ya humu.ambaye yuko tayari ajitokeze,wanaume wazoefu humu ndani mnahusika kunichagulia mrembo ambaye kwa uzoefu wenu ni mchangamfu na mkalimu kwa wageni.legoooooo!!
Baada ya wewe "Kunipandishia Vioo" nimeamua kuwa Mgumu bhana!.:smiling:he he..wagumu siyo eeh??!! endelea hivyo hivyo!!!!
labda mtafute binti.com au preta
jamani eeeh nimesema nataka mrembo anielekeze mazingira ya humu sio mke sasa mnaniambia niende facebook huo ndo ukarimu gani?sasa mrembo wa facebook atanielekeza mazingira ya humu?tujipange wadau tunapotoa ushauri na tusiwe na mawazo negative..
sasa kuelekezwa mazingira ya humu hadi awe mrembo?? urembo huo wa avatar au? hebu check yangu kama inalipa...
Mwanangu Big IQ umenivunja mbavu uposema unataka mrembo mzuri. Je kuna mrembo mbaya? Nadhani urembo huwakilisha uzuri. Isitoshe warembo humu hata kama wapo si rahisi kuwajua kwa vile hawaonyeshi picha zao na kama zipo zaweza kuwa si zao. Ushauri wa kwenda facebook unakufaa ingawa nako watu wanaweza kutumia picha ambazo si zao.
kupanga ni kuchagua,nimeshachagua nilivyopanga nataka mrembo,urembo unahusisha vingi hata uzuri wa avatar unahusika,ya kwako nzuri MREMBO.big up.