K kiruavunjo Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 153 Reaction score 32 Apr 27, 2012 #1 Sifa. Awe mhasibu aliyebobea, awe na uzoefu wa miaka 5 na kuendelea. Mshaara ni maelewano. Hii ni kwa wakaaji wa moshi tuu. Ni pm tafadhali
Sifa. Awe mhasibu aliyebobea, awe na uzoefu wa miaka 5 na kuendelea. Mshaara ni maelewano. Hii ni kwa wakaaji wa moshi tuu. Ni pm tafadhali
Criss Alex Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 111 Reaction score 10 Apr 27, 2012 #2 We mimi nina dada yangu na anauzoefu wa miaka 6 sasa! Je unataka uwasiliane naye?