Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,545
Umeona hapo kwenye........join date lakini...........?.......
Niliona mapema tu ila nikajua labda ni wale wanaosoma wakiwa sio member kajiunga kaanza na hitaji la moyo wake.
Ambacho sijaelewa ni jinsia yake....yeye ni mwanamke au mwanaume? hiyo heading haiko clear kwenye kichwa changu.....! Ila watu wako smart,unaingia siku hiyo hiyo unajua kuanza thread na jukwaa la kuiweka???
Nime-connect dots....lol