Natafuta mpweke mwenzangu, mke wa heshima

Natafuta mpweke mwenzangu, mke wa heshima

Habari za jukwaa ndugu na jamaa.

Poleni na majukumu ya kila siku, ila mwenzenu namtafuta aliyetayari kuishi nami kwa shida na raha.

Vigezo;
-Umri 32-35.
-Dini yeyote, tutakubaliana katika hili.
-Awe mfanyabiashara au mfanyakazi.
-Awe mkarimu na mpole mwenye upendo.
-Asiwe mwembamba wala mnene sana, ila awe na mwili kidogo.
-Asiwe mrefu sana wala mfupi sana.
-Awe mcha Mungu.
-Kabila lolote.
-Apende siasa.
Aliye na vigezo hivyo asisite, anipm.

Nawasilisha

nikifikisha umri huo nitakutafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom