be specific,, usiseme naweza kukupa mpk 20K,, SEMA nitakulipa elfu 20 kwa siku.
unajua maana yake? Yaani hao waswahili hakawii kukuambia leo bishara sio nzuri nitakupa nauli tu, wakati ikiwa nzuri hawezi kukupa hata elfu 50 kwa siku. Halafu hizi kazi ni za unyonyaji ndio maana wengi hawadumu na wafanyakazi.Huyu anamaanisha anaweza kuanzia Tshs 1,000 hadi 20,000 kwa siku
Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote.be specific,, usiseme naweza kukupa mpk 20K,, SEMA nitakulipa elfu 20 kwa siku.
Nampa nambaako chef mmoja anaitwa Eric anakupgia soon anafaa kulipwa hiyo 20k sababu anajua mpk anajua tena.Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote.
Kwa Mfano, Mpishi Wa Chapati awe anapika Chapati Nzuri, na kwa kiwango tunachokubaliana na Mapishi ni asubuhi na jioni.
Usiporidhika utamlipa shilingi ngapi?Natafuta Mpishi Wa Vitafunio.
Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10.
Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga.
Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma.
Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa Siku.
Tuwasiliane kwa namba 0683977008.
Kama anajua tuwasiliane, tutapanga kumjaribu, akikidhi vigezo, basi tutafanya kazi na kumlipa kulingana na uwezo wake.Usiporidhika utamlipa shilingi ngapi?
Thanks, sawa akija nikimjaribu na nikiona anastahili, Why Not.Nampa nambaako chef mmoja anaitwa Eric anakupgia soon anafaa kulipwa hiyo 20k sababu anajua mpk anajua tena.
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Na pia kama hautajali, unaweza nipatia namba yake nimtafute Mimi.Nampa nambaako chef mmoja anaitwa Eric anakupgia soon anafaa kulipwa hiyo 20k sababu anajua mpk anajua tena.
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Hahahaha, hapana nitamjaribu kwanzo kabla hatujaingia Makubaliano, na hii inafanyika popote kabla ya Mtu kupewa kazi anajaribiwa kwanza, akifaulu ndio tutaingia Makubaliano ya Malipo. Na akishindwa ndio kashindwa, sitaendelea nae.Usiporidhika ndio hutomlipa kabisa?
Huyu eric yupo wapi mkuu?Nampa nambaako chef mmoja anaitwa Eric anakupgia soon anafaa kulipwa hiyo 20k sababu anajua mpk anajua tena.
Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu umepata tayariHuyu eric yupo wapi mkuu?
Nilisimama kidogo kuna kitu kiliingilia hii mipango.Mkuu umepata tayari
Ukitaka wa kuchemsha viazi, mihogo na magimbi nipo hapaBado Natafuta mpishi wa Chapati na Vitafunio vyengine kama Half Cake, Sambusa, Egg Chop, Kababu, Sharifu, Bajia, Maandazi, Donat, etc.
Pia nahitaji Mpishi wa Supu/Nyama Choma.
Niliowapata wanaishi mbali na Biashara ilipo.
Wangapi hapo?Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote.
Kwa Mfano, Mpishi Wa Chapati awe anapika Chapati Nzuri, na kwa kiwango tunachokubaliana na Mapishi ni asubuhi na jioni.