Natafuta mpishi wa bites kama sambusa, vitumbua, maandazi na chapati

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Hello ladies and gents
Natafuta mpishi wa bites kama sambusa,vitumbua,andazi na chapati na vinginenvyo. Kazi ipo dar es salam,kama kuna mtu yupo tayari ama kunna mtu unamfaham tuwasiliane. +255736 782778 au whatsapp +44 7771896993
 
Kwa nini wanaotafuta wafanyakazi, pamoja na wanaotafuta kazi hawarudishi mrejesho kama wamefanikiwa au la!?
Au ni ishu za kanjanja, inatakiwa ukitafuta kitu humu, then ukapata au ukakosa, urejeshe majibu ili kutia moyo wengne wanohitaji kazi au wafanyakazi.
 
Mimi Napita Tu

Dah, wee mdada jamani nnavyokupenda mie mwenzio ungejua unavyoniumiza Sauda ungekuja haraka PM kwa kweli kila nikiiangalia avatar yako napatwa na HISIA ZA AJABU kwako sjui kwa nini jmn.

Love u Sau.
 
Kwa nini wanaotafuta wafanyakazi, pamoja na wanaotafuta kazi hawarudishi mrejesho kama wamefanikiwa au la!?
Au ni ishu za kanjanja, inatakiwa ukitafuta kitu humu, then ukapata au ukakosa, urejeshe majibu ili kutia moyo wengne wanohitaji kazi au wafanyakazi.
Ukiona post bado ipo wazi faham bado anatafutwa kaka
 
Back
Top Bottom