Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish na wadada wawili wanaoimba Western Covers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish na wadada wawili wanaoimba Western Covers

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Michael Ngusa, Apr 4, 2016.

 1. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2016
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,647
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 145
  Habari wana JF,

  Natafuta mpiga Gitaa la Solo na Spanish: Awe anajua Gitaa haswaa, sio ubabaishaji. Pia wadada wawili wanaoimba Local & Western Covers (nyimbo mpya na za zamani zinazopendwa). Naomba wawe na uzoefu na shughuli za Band, kutumbuiza kwenye 5 star Hotels n.k.

  Kama ni wewe au unamfahamu mtu, plz niPM namba za simu kwa mawasiliano.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2016
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,366
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Kuna Dada mmoja wa Kiganda alikuwa akiimba kwenye bendi ya Calabash Pub atakufaa sana.
  Kwa sasa hayupo ila unaweza kupita hapo labda utapata namba ya simu
   
 3. Mzigua90

  Mzigua90 JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2016
  Joined: Sep 23, 2014
  Messages: 9,169
  Likes Received: 16,522
  Trophy Points: 280
  Najaribu kukupm nashindwa. Kuna mmoja namfahamu atakufaa kwenye kuimba covers
   
 4. Patrickn

  Patrickn JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2016
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 7,612
  Likes Received: 4,027
  Trophy Points: 280
  Mkuu mi najua kupiga Marimba kama utanihitaji sawa
   
 5. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2016
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,647
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 145
  Fanya kureply.
   
 6. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,466
  Likes Received: 9,166
  Trophy Points: 280
  Unalipa vizuri nikupe mafundi ? Manake nyinyi wenye band Mara nyingi mnawanyonya sana wasanii..!
   
 7. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2016
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,647
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 145
  Nalipa vizuri mkuu. Nipe mafundi.
   
 8. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,466
  Likes Received: 9,166
  Trophy Points: 280
  NakuPM namba zao!
   
 9. J33

  J33 JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2016
  Joined: Jun 11, 2014
  Messages: 1,452
  Likes Received: 953
  Trophy Points: 280
  Yule dada alikuwa yupo powa sana , mara ya mwisho alikuwa anatumbuiza akiwa ni mjamzito inawezekana analea sasa iv.

  Duc in Altum
   
 10. Sauli

  Sauli JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2016
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 251
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  mpiga solo tafuta Dogo instagram au Facebook anatumia jina la Emmanuel gripa alimaarufu kama emmasolo huyu ni balaa, ukishindwana naye kuna mdogo wake anaitwa Sam gripa anaweza akakufaa, pia Facebook tafuta mtu anaitwa nahum Gideon, au Emmanuel mopao


  WaPo wengi haswa makanissani sijui kama utaweza kufikia Bei zao na conditions mtakazofikiana

  wengine ni samboya Sam yonah ila hawa wote Wana studio zao pamoja na emmagripa sijui kama watakuwa tayari Kufanya kazi chini ya band ya mtu kwa Muda mrefu
   
 11. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,466
  Likes Received: 9,166
  Trophy Points: 280
  Haya Mkuu nenda PM
   
 12. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2016
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,647
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 145
  Ndio nimetokako mkuu. Asante sana.
   
 13. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2016
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,466
  Likes Received: 9,166
  Trophy Points: 280
  0718605622..Mkuu huyu ni yule dogo wa kuimba! Mpigie Mtajie jina langu tu kama kawa! Halafu Mwambie anitafute nimpe gita, linanijazia tu nafasi.
   
 14. torvic

  torvic JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2016
  Joined: Mar 9, 2016
  Messages: 1,675
  Likes Received: 3,154
  Trophy Points: 280
  mkuu,vipi mpiga vilimbi umuitaji??
   
 15. Melvine

  Melvine Senior Member

  #15
  Apr 7, 2016
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 188
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 60
  Sorry.!
  Mimi ni SOUND ENGINEER na SOUND RECORDING (Producer) na nina experience na kazi iyo kwa miaka7. Please kama unahitaji huduma yangu naomba unipe nafasi maana ndo kwanza nimemaliza chuo na ajira ngumu.
  Thanx in advance

  +255 718 515171
   
Loading...