kitangakinyafu
Member
- Sep 16, 2010
- 14
- 0
Mimi ni mwanaume. Naishi Dodoma. Natafuta mpenzi wa kuliwazana. Umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Sitanii, kwa hiyo na yeye asitanie. Atakayekuwa tayari ani-PM.
Ahsante
Ahsante
dah! dom upande gani kaka? vipi watoto wa cbe huwawezi?

ongeza umri labda utafanikiwa kila la kheri
Kama upo tayari si unazama PM tu mnayajadili
Kuliwazwa kwa wewe kutoa Tigo? Kama uko tayari kutoa tigo, basi kuna jamaa yangu yuko Dom hapo anaweza sana huo uzandik. Nikupe namba yake
Dom Nkuhungu
Mhh hapana fide, mimi siko tiyari, si wataki kabisa watu wa dodoma, walishanitenda
nkuhungu ipi?wawezakua jirani yangu wewe.....kama vipi ntakupeleka st.johns.wapo pia waliotulia pale.la sivyo tukakamate wa Revola bar pale
Mhh hapana fide, mimi siko tiyari, si wataki kabisa watu wa dodoma, walishanitenda
Specification please, wewe mwenyewe una ram na gb ngapi? Processor yako ni duo au?
Pia kama ni window 7 au xp sp2,
vipi vishankupe vya jamhuri high?