Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

Usishangae akawa ni bikira huyu kwa udomo zege wake.So anaona maji yamezidi unga
soma kwanza acha mapenzi wew hata degree hujamaliza unakimbilia kuoa? duh

wabongo bhana sijui wanafikilia kwa kutumia nini
 
miaka 25 mwaka wa pili, fanya uoe, sijui kwanini wazee walikichelewesha skuli
 
Wadau mi ni kijana wa mwaka wa 2 udsm edu.nna miaka 25 natafuta mpenz wa kuoa sifa ni awe mnene,mweupe na mwislam kat ya miaka 20 na 24 ajtokeze tafadhari.No.0652996465.

Ndicho unachosomea na kuharibu kodi zetu tunazo lipa ??????????

Hakika Elimu ya TZ sasa haina thamani na haiwezi kumkombaa MTZ, wazazi, ndugu, jamaa,marafiki na TAIFA kwa ujumla linakusubiria uje kuwakombaoa wewe unatafuta papuchi ungali bado unasoma.

If I am ua lecturer DISCO INA KUHUSU UKAPATE MUDA MZURI WA KUTAFUTA PAPUCHI. Hapo ulipo siyo mahali pake na wakati wake.

Ndiyo maana Idd Amini alikuwa akifuga mamba kwa ajili ya watu kama ninyi wenye akili za KAPTULA.

From now onwards change ua mind and put ua concentrations on studies NOT PAPUCHI, ua time not yet and ua in a wrong place.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom