Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #21 Kb Ulayaulaya said: Jukwaa la Jukwaa la .Mapenzi,Uhusiano na Urafiki. Angalia vizuri shuka mpaka chini kwenye paji ya JF itakuwa rahisi zaidi kwako mkuu Click to expand... Sasa nawez kubadili sahiz?
Kb Ulayaulaya said: Jukwaa la Jukwaa la .Mapenzi,Uhusiano na Urafiki. Angalia vizuri shuka mpaka chini kwenye paji ya JF itakuwa rahisi zaidi kwako mkuu Click to expand... Sasa nawez kubadili sahiz?
Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #22 Shadow7 said: Kila la kheri mkuu Click to expand... Asante
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,091 Reaction score 165,234 Aug 20, 2024 #23 Essence Tz said: Hii hapana kwakweli Click to expand... Dah sa itakuaje, shati la kitenge vipi?
V veti Member Joined Apr 27, 2023 Posts 24 Reaction score 39 Aug 20, 2024 #24 Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako.
A Attack JF-Expert Member Joined Jun 29, 2022 Posts 905 Reaction score 1,647 Aug 20, 2024 #25 Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... Dah kizazi hiki tumepigwa.....
Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... Dah kizazi hiki tumepigwa.....
Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #26 Attack said: Dah kizazi hiki tumepigwa..... Click to expand... Aaah π
Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #27 veti said: maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako. Click to expand... Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle
veti said: maliza kwanza masomo kisha uingie kwenye mapenzi la si hivyo utakula supplementary za kutosha hapo masomoni kwako. Click to expand... Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Aug 20, 2024 #28 Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... Tuma picha yako niangalie unakwama wapi?
Essence Tz said: Hope mko poa! Jamani natafuta mpenzi wa kuwa nae,. Nyumbani Kanda ya ziwa ila nipo Dar kimasomo! I'm a man of 25 yrs Maswali mengine niulize ntakujibu Click to expand... Tuma picha yako niangalie unakwama wapi?
Utajua wewe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2024 Posts 928 Reaction score 1,843 Aug 20, 2024 #29 To yeye said: Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu Click to expand... Umemuelewa ama umemuelewa ??
To yeye said: Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu Click to expand... Umemuelewa ama umemuelewa ??
V veti Member Joined Apr 27, 2023 Posts 24 Reaction score 39 Aug 20, 2024 #30 Essence Tz said: Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle Click to expand... sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka
Essence Tz said: Kwaiyo mtu akiingia kweny mapenzi anapotea? Au mm siwez kuhandle Click to expand... sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka
Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #31 Utajua wewe said: Tuma picha yako niangalie unakwama wapi? Click to expand... Kweny sura Niko vzr , sijisifii!
Utajua wewe said: Tuma picha yako niangalie unakwama wapi? Click to expand... Kweny sura Niko vzr , sijisifii!
Essence Tz Member Joined Apr 10, 2024 Posts 57 Reaction score 126 Aug 20, 2024 Thread starter #32 veti said: sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka Click to expand... Ndio
veti said: sasa kwa akili za kutafuta manzi hapa jamvini, utakuja kuweza kuhandle manzi kweli kaka Click to expand... Ndio
K Kb Ulayaulaya JF-Expert Member Joined Jan 5, 2023 Posts 802 Reaction score 1,155 Aug 20, 2024 #33 Essence Tz said: Sasa nawez kubadili sahiz? Click to expand... Ushauri tu,weka Uzi kama huu kule pia
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,320 Reaction score 9,703 Aug 20, 2024 #34 Kua makini na .... ephen_ Nyamwi255 Ms R
Shammy- JF-Expert Member Joined Dec 2, 2022 Posts 7,179 Reaction score 18,847 Aug 20, 2024 #35 Ibn Unuq said: Kua makini na .... ephen_ Nyamwi255 Ms R Click to expand... Kwanini..?
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,546 Reaction score 22,981 Aug 20, 2024 #36 Ibn Unuq said: Kua makini na .... ephen_ Nyamwi255 Ms R Click to expand... Haya sasa
kibovu JF-Expert Member Joined Apr 17, 2017 Posts 748 Reaction score 789 Aug 20, 2024 #37 Mkuuu ntakuwa ijumaa kikazi nitafute nikupeleke samaki samaki
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,320 Reaction score 9,703 Aug 20, 2024 #38 Ms R said: Haya sasa Click to expand... Nyamwi255 said: Kwanini..? Click to expand... Run πββοΈπββοΈπββοΈ
Ms R said: Haya sasa Click to expand... Nyamwi255 said: Kwanini..? Click to expand... Run πββοΈπββοΈπββοΈ
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 20, 2024 #39 Watakuja dogo
Ibn Unuq JF-Expert Member Joined Oct 9, 2020 Posts 5,320 Reaction score 9,703 Aug 20, 2024 #40 To yeye said: Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu Click to expand... Hii mwanangu imekaa vipi, yani ni kama mtoto wako au πππ
To yeye said: Oke,sasa nimekuelewa...kila lenye kheri kwako mwanangu Click to expand... Hii mwanangu imekaa vipi, yani ni kama mtoto wako au πππ