20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,261
Sio Poa.Mkuu naona umeshapata kazi sasa kinachofuata ni kutafuta mama watoto wa kula nae matunda
Natafuta kazi ya ualimu(geography&history) - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Poa.Mkuu naona umeshapata kazi sasa kinachofuata ni kutafuta mama watoto wa kula nae matunda
Natafuta kazi ya ualimu(geography&history) - JamiiForums
Yeah maana yeye anatafuta mtu aliye siliasiEndapo yeye mwenyewe yuko siliasi😛😛😛
Itakuwa ameshapata kazi sasa anatafuta mtu aliye siliasi wapange maisha mkuu