Natafuta mpenzi

Naitwa Daniella Lyimo na umri wa miaka 23, nimrefu so sana, sio mweusi wala mweupe, siyo mnene wala mwembamba nipo wastani, elimu yangu kidato cha nne, kazi mfanyabiashara, mzaliwa wa mkoani Kilimanjaro

VIGEZO VYA MWANAUME NINAYE MTAKA
Awe na miaka kuanzia 27 hadi 38 asiwe mwembamba wala mnene awe wa wastani, rangi yotote mweupe, mweusi, chocolate sawa
Asiwe mchaga kabila nyingine sawa
Awe na mapenzi ya dhati
Elimu yoyote. Akipatikana anitafute namba nitatoa kidogo awe na mvuto.

=====

Nimepata tayari, asanteni.
Bado upo available?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom