Th los proffcnal
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 584
- 345
Vigezo sina vyote,ila ukikosa uje kwangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaniee dini nimesahau mi mkristo but km akipatikana wa dhehebu lolote Au dini nyingine Hamna tutaongea
Kabisa. Sijui kaipendea nini?hahahahhh watu wanaogopa kwenda pm wakiangalia hiyo avatar
Hahahahaha... Hahahaa eti kwanza kapole kama nini malizia basi hapo kama niniJamaniee nipo serious akipatikana aje pm nitampa namba then nitamtumia picha zangu whstsap kidoogo natabia nzuri kwanza kapooole km nini
ww tena hata kuogopa huogopiHahahahaha... Hahahaa eti kwanza kapole kama nini malizia basi hapo kama nini
Hivi wanatusikiliza haha mawazo yangu tupo pm
I see youVigezo vyote ninavyo Jovitha tafadhari nakuomba uni pm. Toto la kimanyema mimi eeh
Namiliki boti 6 mitumbwi 4 heka 5 za maharage na mihogo. So tutakula udaga sana na migebuka.
Si unajua migebuka ilivyo mitamu na dagaa mteke wa mawese wakiwa wamelala weee utamu wake usiniambie. Pleazi sitanii natafuta mchumba kweli. Kwetu ujiji