Natafuta mpenzi

Nasubiri mrejesho wa hao watakaofanikiwa kuonana na wewe face to face, na wakute sio huyo wa kwenye avarta yako.
 
Hi wapendwa,

Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.

Mwenye sifa hizo anifollow pm
Nakuja PM tuyajenge
 
kwa hii operesheni ya kamanda Sirro haya tuyategemee sana humu...hiyo ni mikakati mipya ya kuendelea kuwepo...haahaaa natania tu...kila la heri
Mkuu hautanii...
 
Reactions: BRN
Tupatie mrejesho sasa, maana naona ulitaka tu kutongozwa.
 
Hahahaaaa.. Umeona mbali
 
Issabella usipoteze muda wako kujibizana sana na hawa watu wanakuzingua tu,mwenye nia ya dhati atakuPM na mtaelewana huko wenyewe. Hawa watakuumiza kichwa bure...... Best wishes dear!
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha banigi hizii daaah hadi warembo siku hizi zinawachukua saaana punguzeni jmn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…