Natafuta mpenzi wa kike, kutongoza nashindwa.

domdom

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.
 
acha ukuda na udomo zege. sijui ulipataje kazi na domo gundi hilo.
uliwezaje kuongea na ma hr au nyie ndio wa kazi za kamlete
 
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.

hatariiiiiii.,....,...kwel kna wa2 wa ajab
 
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.
mpenzi wa jinsi gani maana kuna waliberali humo! vijana wa kizazi hiki hamtabiriki nyie
 
duh yaani unataka watu wakukuwadie utatafutiwa mwishowe utaomba wakusaidie kuku... tomb........
 
Hata wachina umewashindwa?wewe domozege kweli

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Habari wana MMU, mimi ni kijana mwenye miaka 32, bado natafuta maisha; nimeajiriwa na kampuni binafsi baada ya kuhitimu masomo yangu ya juu nchini China. Natafuta mpenzi mwenye miaka kati ya 20-32, awe tayari kupima ukimwi.

Utakuwa unaishi kwa doz ARV ndo maana unataka uambukize watoto wetu!
 
Sasa jamani nafasi za kazi kweli.....!! Au ndio anapatiwa huyo 'kuwadi' ajira??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom