Natafuta Mpenzi/Mume Mtarajiwa

Natafuta Mpenzi/Mume Mtarajiwa

Não a nenhuma cantora para canta que nem a Celine. a melhor cantora. Não nenhuma porá cantar que nem ela, simplesmente a rainha da voz ,

 
5 Days Tanzania Private Safaris.jpeg
 
Habarani wadau....

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.

Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa.

Natafuta mwanaume mkristo na mwenye hofu ya Mungu, awe na a source of income, apende familia, preferably miaka 30 na kuendelea.

Kama nimewakwaza samahanini na karibuni.
Sifa zote ninazo ila kweny ajira nadhan nitakukosa maana magu asomek mpaka sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom