Natafuta Mpenzi/Mume Mtarajiwa

Natafuta Mpenzi/Mume Mtarajiwa

Mkuu, sasa wewe unaweka sharti la a source of income kwenye uchumba, nilithani watu wakishaanza uchumba ndo waanza kuweka mikakati ya aina ya maisha watakayoishi pamoja, maana mwingine ukimkuta na mali anaweza kuamua kuwaachia wazazi wake na kuanza upya maisha. Halafu wewe kama Mkristu, unatakiwa pia kuweka sharti ya source of income halali, vinginevyo utapata ambaye ni fisadi/mwizi/jambazi halafu atafungwa na kukuacha peke yako.
Asante kwa hili
 
Hata Mimi Natafuta Mke... Mwarabu wangu ana mapenzi yaliyopitiliza hadi kero hapendi nifanye kazi, bora nikuchukue wewe...
 
Habarani wadau....

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu natafuta mpenzi ambae baadae atakua mume wa maisha yangu.

Mimi ni binti wa miaka 27 ni mkristo elimu degree na nmeajiriwa.

Natafuta mwanaume mkristo na mwenye hofu ya Mungu, awe na a source of income, apende familia, preferably miaka 30 na kuendelea.

Kama nimewakwaza samahanini na karibuni.
Mungu akutimizie hitaji lako
 
Jina: Valentina

Umri: 79

Jinsia: KE

Wasifu wangu....

1. Umbo kabati

2. Mweusi

3. Mchoyo sana

4. Nina gubu

Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo

1. Hand same

2. Mkarimu

3. Mwenye mali nyingi

4. Asiwe bahili

Umri 25_35
1465464880781.jpg

Falentina kyamani nipo kwa ajili yako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom