Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi;
~ Miaka 28 mpaka 35
~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi
~ Mkoa wowote, akiwa DSM itapendeza zaidi
~ Mrefu wa kawaida
~ Asiwe na mtoto
~Awe serious na si mume wa mtu
Kindly you are welcome PM.