mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
Ww ndo uje PM wanaume sikuizi tupo wachache Kama unataka wavulana watajaa huko PM Kama upo serious njoo PM
Nina pisi kali mno alafu situmii nguvu, zinakuja zenyewe free. Hivi kwa nini hukuwa pisi kali? Pengine ungepata nafasi ya kuwa na mtu kama mimiKantri njoo mshkaji wangu kuna jimbo lipo wazi huku, upunguze stress za kuachwa [mention]Countrywide [/mention]
Nina pisi kali mno alafu situmii nguvu, zinakuja zenyewe free. Hivi kwa nini hukuwa pisi kali? Pengine ungepata nafasi ya kuwa na mtu kama mimi