Natafuta mpangaji wa mda mrefu

Natafuta mpangaji wa mda mrefu

carlerion

Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Habari zenu wanaJF,

Nina nyumba yangu mpya kabisa iko maeneo ya Mbezi Beach karibu na kota za B.O.T nyumba ina vyumba viwili masterbedrooms,sebule kubwa( sitting room),jiko( kitchen) ,baraza pamoja na car parking kubwa ya kutosha.

Nyumba iko ndani ya fensi na mazingira mazuri karibu na barabara na inajitegemea kwa kila kitu.

Nahitaji mpangaji wa mda mrefu kuanzia miaka miwili kuendelea na zaidi nina shida ya fedha taslimu nw kama 15 milion hivyo basi tunaandikishana mkatabavwa mda mrefu na kuwekeana mkataba wa miaka tutakayokubaliana na kukuachia nyumba ikiwa independent as we agreed.

Maelewano mengine yote tutaelewana tukikutana na kuafikiana baada ya kuiona nyumba.

I am very serious na yeyote atakayehitaji kupangisha kwa matumizi ya nyumbani o otherwise awasiliane kwa mawasiliano yafuatayo....0712 240 334.

Let it be serious na for the time we agree if possible there is a bonus of period to be offered to the client (customer).

Kwa yeyote asiyehitaji bughudha za wenye nyumba or any kind of disturbance and long term contract na kufanya mambo yake kwa uhuru this is the right place to stay.

Kodi halisi ya upangaji ni tsh 500,000 kwa mwezi but itadepend na period utakayolipa from more than three yrz itapungua sanaa kutoa satisfaction on both sides
 
Mimi nataka nyumba ya vyumba 2 kwa 80,000 kwa mwezi nalipa kodi ya mwaka mmoja...ntapata??
 
Mmh, kule mafuriko hayafiki? Maana naskia kuna mbezi bichi moja hadi magogo yalikuwa barabarani.

Anyway wish u luck. Ila m15? kibongobongo ushafika kwenye lenta?!
 
Da jamani ml15 napata kiwanja name nyumba ya vyumba v3 name sebule chenji inabaki
 
Kakope benki au taasisi za fedha utapata hela yako vizuri sana
 
Habari zenu wanaJF,

Nina nyumba yangu mpya kabisa iko maeneo ya Mbezi Beach karibu na kota za B.O.T nyumba ina vyumba viwili masterbedrooms,sebule kubwa( sitting room),jiko( kitchen) ,baraza pamoja na car parking kubwa ya kutosha.

Nyumba iko ndani ya fensi na mazingira mazuri karibu na barabara na inajitegemea kwa kila kitu.

Nahitaji mpangaji wa mda mrefu kuanzia miaka miwili kuendelea na zaidi nina shida ya fedha taslimu nw kama 15 milion hivyo basi tunaandikishana mkatabavwa mda mrefu na kuwekeana mkataba wa miaka tutakayokubaliana na kukuachia nyumba ikiwa independent as we agreed.

Maelewano mengine yote tutaelewana tukikutana na kuafikiana baada ya kuiona nyumba.

I am very serious na yeyote atakayehitaji kupangisha kwa matumizi ya nyumbani o otherwise awasiliane kwa mawasiliano yafuatayo....0712 240 334.

Let it be serious na for the time we agree if possible there is a bonus of period to be offered to the client (customer).

Kwa yeyote asiyehitaji bughudha za wenye nyumba or any kind of disturbance and long term contract na kufanya mambo yake kwa uhuru this is the right place to stay.

Kodi halisi ya upangaji ni tsh 500,000 kwa mwezi.
Mkuu jee hii nyumba ni yako?
Mimi naweza kutoa laki 3 kwa mwezi na nina uwezo wa kulipa miaka 3
Nipo serious let me know kama hii itakulipa
 
Contact me through my details abve tudiscuss abt the situation........trplmike
 
Habari wa Jf still sijapata mtu wa kuwa serious na my post please whoever is serious lets anipe info
 
Back
Top Bottom