Natafuta Movie za zamani za Bongo

Natafuta Movie za zamani za Bongo

kingwillyII

New Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Habari Wadau

Kabla ya Bongo movie ya sasa kuna movie zilitoka kitambo sana wakati huo zilikua available kwenye VHS tu nazitafuta sana mwenye kufahamu tafadhari share nasi tunazipataje. Movie hizo ni kama
  1. Fukara Hatabiriki ya mzee majuto
  2. Shabwa Kubwa hii iliigiziwa Tanga
  3. Gubu la Wifi ya mzee Small na Bi chau
 
Back
Top Bottom