Simu yako ilikua na shida ganiHabari!!mwenye Motherboard ya samsung A71 au anayemjua fundi ambaye anauza au mtu yeyote anichek inbox sababu mafundi niliyowapelekea simu Yangu A71 imewashinda ,au Ambaye anauza A71 Used but clean kwa 500k anicheki ,napatikana Muhimbili Dar-es-salaam
Uko mkoa ganiYes Haisomi Line inaandika no network
Nimekucheck PM. Check then nipe feedbackNop nmesema motherboard ya A71 au Anayeuza simu A71 kwa 500k
Hilo tatizo linaweza pona but Niko Mwanza