natafuta MODEM!!!

natafuta MODEM!!!

Oppotunity

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
38
Reaction score
12
Nahitaji Modem zile za ZAIN
zenye call facility yan zina uwezo wa kupiga sim (voice call)at the same time inatumika kwenye pc!!! yeyote aliyenayo plz i need it.
 
me ninayo ambayo sio ya aitel ila inaingia line yoyote ya nchi yoyote, ina speed kubwa sana, na inapiga na kupokea simu na sms!! bei 150,000
 
ninazo mpyaa za huawei universal unaweka line yoyote na unaweza tuma sms kupiga simu na ina support ssd codes bei 35000tsh call 0713388226
 
me ninayo ambayo sio ya aitel ila inaingia line yoyote ya nchi yoyote, ina speed kubwa sana, na inapiga na kupokea simu na sms!! bei 150,000

Ebu elezea kipi cha ajabu mpaka iuzwe 150k!
 
Nahitaji Modem zile za ZAIN
zenye call facility yan zina uwezo wa kupiga sim (voice call)at the same time inatumika kwenye pc!!! yeyote aliyenayo plz i need it.

Point of correction . Inaitwa "moderm"
 
Ebu elezea kipi cha ajabu mpaka iuzwe 150k!

kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda zina 3G
 
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda pzina 3G

nchi gani ina technology ya 9G? kuna nchi nyingi tu za ulaya hata 4G hazina seuze 9G.
na ya nini kununua modem hiyo wakati speed hiyo huwezi pata hapa nyumbani
 
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda zina 3G

Mkuu, maelezo yalikua hayajitoshelezi sasa hapo umeeleweka vizuri. Ila universal yoyote inachua line ya nchi yoyote iwapo utaweza kuipata network na setting husika labda hilo la 9g ndilo kidogo nitofauti japokua kwasasa hata hiyo 3g kwetu ni kitendawili.
 
Mkuu we kweli noma 9G??? Umenichekesha sana hakuna kitu kama 9G hata ulaya wanatumia 4G na ni kwa baadhi ya miji we una modem yenye 9G. Hii modem itakuwa imetengenezwa kwenye alien planet nini.
Hata kama ni universal kwa hiyo bei hakuna kitu, modem yoyote unlocked ina maana ni universal unaweza kuitumia nchi yoyote
kwani hujaelewa hapo, sio ya kitanzania na inaingia line yoyote duniani, ina speed ya 9G wakati za airtel,tigo na voda zina 3G
 
nchi gani ina technology ya 9G? kuna nchi nyingi tu za ulaya hata 4G hazina seuze 9G.
na ya nini kununua modem hiyo wakati speed hiyo huwezi pata hapa nyumbani

tatizo unazijua za kibongo ambazo kila mtandao inatengeneza ya kwako mpaka uchakachue ndo uweke line nyingine. mimi nilitoka nayo italy na nimenunua usd 55, ukiweka yako ya 3G na nikiweka yangu then tukaanza kutumia pamoja ndo utaona tofauti ya speed hapo!! inakonect kwa 100.00Mbps wakati ya 3G inakonect kwa 16 - 22Mbps
 
Mkubwa acha kuongopea watu, kwanza hapa bongo mtandao wenye speed zaidi ni smile na wao hata mb 50/sec hupati.
Ndiyo hiyo 9G mkuu acha kamba zako hakuna network yenye 9G hata 5G bado ndiyo tuko kwenye 4G.
Uki unlock modem ni universal tayari haijalishi ilikuwa ya voda au airtel na hakuna modem inayotengenezwa tanzania zote zinaletwa toka nje.

Bora umenisaidia kumweka sawa huyu jamaa asizidi kupotosha watu....
 
Back
Top Bottom